Wahadhiri Wa Chuo Cha Moi Kugoma

2021-08-30 24

Licha Ya Muungano Wa Wahadhiri Kusitisha Mgomo Uliokuwa Umepangwa Kuanza Leo, Wahadhiri Wa Chuo Kikuu Cha Moi Wataanza Mgomo Wao Baada Ya Wiki Moja Ili Kutafuta Suluhu Kwa Baadhi Ya Changamoto Zinazowakumba.