Baadhi Ya Wakenya Wamekashifu Wanasiasa Wanaochangia Uhasama Na Ghasia Nchini Wakihofia Kurejelewa Kwa Machafuko Ya 2007. Na Sasa Wanamtaka Rais Uhuru Kenyatta Achukue Hatua Kuhakikisha Ametimiza Mkataba Wa Mwaka Wa 2013 Uliotolewa Katika Uwanja Wa Afraha Alipoahidi Wananchi Kuwa Hakutawahi Kuwa Na Ghasia Baada Uchaguzi .