Viongozi Wa Dini Ya Kiisalamu Wakashifu Malumbano Ya Uhuru Na Ruto

2021-08-29 1

Viongozi Wa Dini Ya Kiislamu Wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta Na Naibu Wake William Ruto Kumaliza Tofauti Zao Ili Taifa Linapojiandaa Kwa Ajili Ya Uchaguzi Wa 2022 Kuwaacha Wakenya Katika Hali Ya Amani Na Umoja.Viongozi Hao Wa Kidini Wanaofia Kuwa Uhasama Wa Kisiasa Baina Ya Rais Na Naibu Wake Utavuga Amani.Davis Mberia Na Taarifa Hii Kwa Kina