Ruto: Sina Muda Wa Kupoteza Kuzozana Na Vitengo Vya Usalama

2021-08-28 3

Naibu Rais William Ruto Ameshikilia Kuwa Hana Muda Wakupoteza Kuzozana Na Serikali Kuu Haswa Vitengo Vya Usalama Kufuatia Uamuzi Wa Inspekta Generali Hillary Mutyambai Kubadilisha Maafisa Wa Polisi Katika Makao Makuu Yake Karen. Akizungumza Katika Mazishi Ya Aliyekuwa Seneta Mteule Victor Prengei Ruto Ameshikilia Kuwa Ameipa Uchaguzi Wa Mwaka 2022 Kipau Mbele. Aidha Maafisa Wa Gsu Walionekana Kuweka Ulinzi Mkali Baada Ya Kuchukua Hatamu Kutoka Maafisa Wa Utawala.