Msajili Wa Vyama Athibitisha Kuvunjika Kwa Muungano Wa NASA
2021-08-27 5
Ni Rasmi Sasa Kwamba Ndoa Baina Ya Vyama Vya Kisiasa Iliyopelekea Kuzaliwa Kwa Muungano Wa Nasa Imefikia Kikomo. Msajili Wa Vyama Vya Kisiasa Anne Nderitu Amethibitisha Kupokea Nyaraka Kutoka Kwa Vyama Hivyo Za Kuvunja Muungano Huo.