Baadhi Ya Wakenya Waunga Mkono Wengine Wakizipinga

2021-08-19 5

Hisia Mseto Zinazidi Kuibuliwa Kufuatia Tangazo La Rais Uhuru Kenyatta La Kuongeza Muda Wa Kafyu Na Kanuni Nyingine Zilizowekwa Kudhibiti Kusambaza Kwa Virusi Vya Corona. Baadhi Ya Wakenya Tulizungumza Nao Hapa Jijini Nairobi Wanaunga Mkono Hatua Hiyo Huku Wengine Wakipinga Wakisema Zinawakandamiza Wakenya Wa Kawaida. Busara Naaman Na Taarifa Hiyo.