Wandani Wa Rais Kenyatta Na Raila Wabuni Mbinu Ya Kufufua BBI Iwapo Watpoteza Kesi

2021-08-19 2

Mahakama Ya Rufaa Inapania Kutoa Uamuzi Wa Kesi Ya Mchakato Wa Maridhiano Na Kujenga Madaraja Nchini Bbi Hapo Kesho,Uamuzi Utakaojenga Au Kuzima Ndoto Ya Rais Uhuru Kenyatta Na Kinara Wa Chama Cha Odm Raila Odinga Kuwashinikiza Wakenya Kushiriki Kura Ya Maamuzi.Rais Kenyatta Yumo Mbioni Kuunda Nyumba Yake Ya Urithi Kupitia Nyongeza Ya Vyeo Kadhaa Kupitia Bbi Hata Hivyo Makali Yatashushwa Au Kupanda Baada Ya Uamuzi Wa Jopo La Majaji Saba Hapo Kesho.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Ameivalia Njuga Taarifa Hyio