Wito Watolewa Kwa Serikali Kufungua Uchumi

2021-08-19 7

Wafanyibiashara Wadogowadogo Pamoja Na Wamiliki Wa Baa, Mikahawa Na Hoteli Wameishtumu Idara Ya Polisi Kwa Kuwanyanyasa Nyakati Za Usiku Hasa Kabla Ya Wakati Wa Kafyu. Haya Yanajiri Siku Chache Baada Ya Video Kuzagaa Mitandaoni Ikionyesha Afisa Wa Polisi Akiwanyanyasa Wauzaji Mvinyo Katika Kilabu Kimoja. Wakiongozwa Na Katibu Mkuu Boniface Gachoka Wanaitaka Serikali Pia Kufungua Uchumi Mara Moja Kwani Wafanyibiashara Wote Wanaendelea Kukadiria Hasa Kubwa Kutokana Na Kanuni Zilizowekwa Kukabiliana Na Msambao Wa Virusi Vya Corona.