Mamia Ya Wanafunzi Kilifi Wako Katika Hatari Ya Kuangamia

2021-08-18 0

Mamia Ya Wanafunzi Kutoka Kaunti Ya Kilifi Eneo La Ganze Wamelazimika Kuacha Shule Kutokana Na Janga La Njaa Ambalo Linazidi Kuyaweka Maisha Ya Wakaazi Hatarini. Takriban Wakaazi Laki Mbili Wako Katika Hatari Ya Kuangamia Kutokana Na Uhaba Wa Maji Na Baa La Njaa Huku Wito Ukizidi Kutolewa Kwa Serikali Kuu Na Ile Ya Kaunti Kuchukua Hatua Ya Dharura Kuwanusuru Wakaazi Hao.