Mamlaka Huru Ya Usimamizi Wa Polisi Imependekeza Maafisa Wanaohusishwa Na Kifo Cha Ndugu Wawili Huko Kianjokoma Kushtakiwa Kwa Mauaji. Hii Ni Baada Ya Inspekta Generali Wa Polisi Hillary Mutyambai Kusema Kwamba Tayari Ripoti Hiyo Imo Mikononi Mwa Mkurugenzi Mkuu Wa Mashtaka Ya Umma Ili Kuchukuliwa Hatua.