Ruto Afokea One Kenya Na Raila Kuungana Bila Ajenda Ya Mwananchi

2021-08-15 1

Naibu Wa Rais William Ruto Amewasuta Viongozi Wa Muungano Wa One Kenya Pamoja Na Kiongozi Wa Upinzani Raila Odinga Kufanya Miungano Isiyo Na Ajenda Yeyote Kwa Mwananchi Wa Kawadai Bali Kujibinafsisha Wao Wenyewe.Matamshi Ya Ruto Yanajari Wakati Viongozi Wa One Kenya Wanajiandaa Kufanya Mkutano Wa Faragha Hapo Kesho Eneo La Naivasha Kujadili Mbinu Itakayotumika Kumpata Mgombea Wa Urais Katika Uchaguzi Mkuu Ujao.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Amekusanya Taarifa Hiyo

Free Traffic Exchange