Afueni Kwa Wakaazi Wa Siaya: Baada Ya Kupokea Msaada Kutoka Kwa Serikali Ya Kaunti Ya Siaya

2021-08-14 6

Siku Chache Baada Ya Runinga Ya Ebru Kuangazia Masaibu Ya Wakaazi Wa Bar Agulu Kaunti Ya Siaya Baada Ya Makaazi Yao Kuteketezwa Na Mkasa Wa Moto, Wakaazi Hao Sasa Wakona Kila Sababu Ya Kutabasamu. Hii Ni Baada Ya Serikali Ya Kaunti Ya Siaya Kuwapa Mabati Ya Kujenga Nyumba Zao. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Na Maelezo Zaidi……….