Nafasi Za Ajira Zatangazwa Kwa Wauguzi Wa Humu Nchini Ughaibuni

2021-08-14 1

Utata Unanukia Baina Ya Serikali Na Miungano Ya Wahudumu Wa Afya Baada Ya Wizara Ya Leba Kutangaza Nafasi Za Ajira Kwa Wahudumu Wa Afya Katika Mataifa Ya Ughaibuni. Mungano Wa Madaktari Tayari Ulieleza Kughadhabishwa Na Hatua Hiyo Ikihoji Kuwa Serikali Haiwathanini Wakenya…