Idadi Ya Kina Mama Wanaonyonyesha Kiambu Yapungua

2021-08-14 1

Huku Ulimwengu Ukisherehekea Wiki Ya Unyonyeshaji Duniani Idadi Ya Kina Mama Wanaonyonyesha Katika Kaunti Ya Kiambu Imepungua. Kwa Mujibu Wa Maafisa Wa Afya Katika Kaunti Hiyo Idadi Hiyo Imepungua Kwa Zaidi Ya Asilimia Tano Na Hasa Kutokana Na Changamoto Zinazosababishwa Na Janga La Virusi Korona…Afisa Wa Lishe Bora Katika Kaunti Hiyo Rachael Wanjugu Amesema Idadi Hiyo Imepungua Kutokana Na Dhana Potovu Kuhusiana Na Chanjo Dhidi Ya Virusi Korona Na Athari Zake Kwa Kina Mama Wanaonyonyesha