Sakata Ya Kufurushwa Kwa Raia Wa Kituruki Harun Aydin Haionekani Kuisha Wakati Wowote Kuanzia Sasa Huku Serikali Sasa Ikidai Kuwa Mtu Alikuwa Anafanya Ulanguzi Wa Fedha. Waziri Wa Usalama Wa Ndani Fred Matiangi Anasema Mtu Huyo Alikuwa Mwanabiashara Haramu Na Hangeruhusiwa Kamwe Kuwa Humu Nchini….Hii Ni Licha Ya Taarifa Kuwa Kinara Wa Wiper Kalonzo Musyoka Alikuwa Amesafiri Hadi Uturiki Kujaribu Kutatua Mzozo Wa Kidiplomasia Kati Ya Kenya Na Uturuki Kumhusu Aydin…….