Wakenya Wanaendelea Kujitokeza Kupata Chanjo Ya Corona Na Astrazeneca Kufuatia Kuzinduliwa Kwa Kampeni Ya Kuchanja Umma Dhidi Ya Virusi Hivyo Hatari. Mwanahabari Busara Naaman Alizuru Vituo Kadhaa Katika Kaunti Ya Nairobi Kutathmini Hali Na Kutuandalia Taarifa Ifuatayo.