Wahudumu Wa Afya: Kaunti Ya Lamu Haina Mtambo Wa Oksijeni

2021-08-13 0

Baadhi Ya Viongozi Katika Kaunti Ya Lamu Wametoa Masikitiko Yao Kuhusu Ongezeko La Maambukizi Ya Corona Wakidai Hospitali Za Rufaa Zimezidiwa Na Wagonjwa. Wahudumu Wa Afya Wanalalama Kuwa Pana Upungufu Wa Vifaa Vya Kujikinga Dhidi Ya Virusi Vya Corona Na Isitoshe, Kaunti Nzima Haina Mtambo Wa Oksijeni.