Pombe Ya Mauti Nakuru: Idadi Ya Waliofariki Kutokana Na Pombe Haramu Yafikia 8

2021-08-11 6

Watu 3 Zaidi Wamefariki Baada Ya Kubugia Pombe Haramu Katika Kijiji Cha Hodi Hodi Kata Ndogo Ya Kabati Kaunti Ya Nakuru Na Kufikisha Jumla Ya Idadi Ya Waliofariki Kufikia Sasa Kuwa Nane. Kulingana Na Afisa Wa Afya Kaunti Ya Nakuru Daktari Dan Wainaina Tatu Hao Walifariki Walipokuwa Wakipokea Matibabu.