Mashindano Ya Mbio Za Magari Kuingia Raundi Yake Ya Tano Wikendi

2021-08-11 10

Viongozi Wa Jedwali La Mbio Za Magari Ya Autocross Karamveer Singh Rooprai Na Zameer Verjee Wanatarajia Tena Kukiwasha Katika Mkondo Wa Tano Wa Mbio Za Magari Za Autocross Ambazo Zitaandaliwa Wikendi Hii Mombasa.