Uchaguzi Wa Mwaka Ujao Umetia Mshawasha Wakenya Wa Matabaka Mbali Mbali Walio Na Nia Ya Kutwaa Uongozi Wa Taifa. Mmoja Ya Wakenya Hao Ni Mwanamziki Wa Nyimbo Za Injili Reuben Kigame Anayesema Kuwa Yeye Ndiye Chaguo Bora Zaidi. Kigame Amejiunga Na Msururu Wa Vigogo Wa Kisiasa Kama Vile Naibu Rais William Ruto Na Hata Kinara Wa Odm Raila Odinga.