Mbunge Wa Lurambi Amsuta Atwoli Kwa Kupuuzilia Mbali Ubabe Wa ANC

2021-08-10 0

Mbunge Wa Lurambi Titus Khamala Amemsuta Katibu Mkuu Wa Cotu Francis Atwoli Kwa Kupuuzilia Mbali Ubabe Wa Chama Cha Anc Eneo La Magharibi. Mbunge Huyo Ametoa Wito Kwa Viongozi Wa Eneo Hili Kumuunga Mkono Musalia Katika Azma Yake Ya Kuwa Rais Wa Kenya Katika Uchaguzi Wa Mwaka Ujao.