Maandalizi Ya Uchaguzi Wa 2022

2021-08-09 1

Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Ujao Unakabiliwa Na Changamoto Ikiwa Tume Ya Uchaguzi Nchini Haitapata Kiasi Cha Fedha Inachohitaji. Haya Ni Kwa Mujibu Wa Mwenyekiti Wa Tume Ya Uchaguzi Wafula Chebukati Anayesema Kuwa Liucha Ya Tume Hiyo Kuhitaji Shilingi Billioni 40.9 Kufanikisha Uchaguzi Wa Mwaka Wa 2022 Ilipokea Bilioni 26 Pekee Hali Ambayo Huenda Ikaathiri Jinsi Tume Hiyo Itatekeleza Uchaguzi. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi…….