Wazazi Walalamikia Bei Ya Juu Ya Bidhaa Za Wanafunzi, Shule Zaombwa Kutowanyanyasa Wazazi

2021-08-08 6

Kufuatia Malalamishi Kuwa Kuna Baadhi Ya Walimu Wakuu Wanaowashurutisha Wazazi Kununua Bidhaa Za Shule Katika Maduka Maalum Kwa Bei Iliyo Juu, Viongozi Wamejitokeza Kukashifu Hali Hiyo Ikizingatiwa Kuwa Wazazi Wengi Wameathirika Kiuchumi Kutokana Na Janga La Corona. Wakiongozwa Na Kinara Wa Anc Musalia Mudavadi, Wamewataka Walimu Wakuu Kukoma Kuwanyanyasa Wazazi Mara Moja.