Wakaazi Katika Kaunti Kumi Na Moja Wanahofia Huenda Wakapoteza Maisha Yao Pamoja Na Mifugo Yao Kutokana Na Ukame. Miongoni Mwa Kaunti Hizo Ni Kitui Kaunti Ambapo Wakaazi Eneo Hilo Wanashikilia Kuwa Hivi Karibuni Huenda Wakakosa Maji Safi Ya Kunywa. Wakaazi Hao Vile Vile Wamesuta Wizara Hiyo Kwa Kutohakikisha Mabwawa Yamejengwa Ili Kukabiliana Na Ukame. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi……………