Rais Kenyatta Ayafokea Mataifa Yanayotenga Bara Afrika

2021-07-30 3

Rais Uhuru Kenyatta Ameyafokea Mataifa Yanayojiwekea Chanjo Dhidi Ya Corona Akisema Kuwa Ni Hakikisho Tosha Ya Kutokuwa Na Usawa Wa Utoaji Chanjo. Akizungumza Na Televisheni Ya Sky News, Rais Kenyatta Alisema Kuwa Mataifa Mengi Barani Afrika Huhusika Katika Katika Majaribio Ya Chanjo Kisha Zatengwa Wakati Wa Usambazaji Wa Chanjo.