Mwangangi: Kuna Haja Ya Kuwekeza Katika Sekta Hii Ya Afya

2021-07-29 9

Kutokana Na Idadi Kubwa Ya Watu Wanaougua Maradhi Ya Akili Kuna Haja Ya Kuiamrisha Mifumo Ya Kuwawezesha Wananchi Kushughulikia Afya Yao. Kwa Mujibu Wa Wizara Ya Afya Idadi Kubwa Ya Wananhi Wanaoenda Hospitalini Huwa Na Matatizo Ya Kiakili Na Kuna Haja Kuwekeza Katika Sekta Hiyo. Dr Mercy Mwangangi Ni Waziri Msadizi Katika Wizara Ya Afya…….