Mathare United Wananing'inia Kushuka Daraja Kutoka Ligi Kuu Ya Soka Nchini Fkf Pl

2021-07-29 0

Mathare United Wanatizamana Ana Kwa Ana Na Shoka La Kushuka Daraja Kutoka Ligi Kuu Nchini Fkf Pl Ikiwa Hawatajikaza Kisabuni Kukwepa Shoka Hilo. Vijana Hawa Wamabanda Wamesalia Na Mechi Sita Msimu Huu Ambazo Zitaamua Iwapo Mashua Yao Itazama Ama Itafika Ukingoni Msimu Kesho Ikizingatiwa Kuwa Wanavuta Mkia Na Alama 15 Jedwalini.