Ni Afueni Kwa Jamii Ya Washona Nchini Baada Ya Serikali Kuwapa Vitambulisho Na Kuwatambua Rasmi Kama Wananchi Wa Kenya. Hatua Hii Imejiri Baada Ya Miaka Mingi Ya Kampeni Iliokuwa Ikifanywa Na Tume Ya Kutetea Haki Ya Kibinadamu Khrc Kwa Ushirikiano Na Shirika La Umoja Wa Mataifa Kuhusu Wahamiaji.