Ruto, Raila Na Mudavadi Wanamenyana Kuhusu Mbinu Bora Ya Uchumi

2021-07-28 4

Kinyanganyiro Cha Miundo Ya Uchumi Kimeshika Kasi Baina Ya Wanasiasa Wakati Taifa Linapoelekea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka 2022.Wanasiasa Hasa Wale Wanaogombea Urais Hasa Naibu Wa Rais William Ruto, Kinara Wa Chama Cha Odm Raila Odinga Na Mwenzake Wa Chama Cha Anc Musalia Mudavadi Wanaotaka Kumrithi Rais Uhuru Kenyatta Wamekabana Koo Kuhusu Mbinu Bora Ya Kubadili Uchumi Wa Taifa. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili//