Kinara Wa ODM Raila Odinga Afanya Ziara Eneo La Mlima Kenya

2021-07-27 3

Siasa Za 2022 Zimeshamiri Katika Hafla Ya Kuwatambua Wasanii Wa Mziki Iliyohudhuriwa Na Kinara Wa Odm Raila Odinga. Viongozi Mbali Mbali Walioandamana Na Odinga Wamezidi Kudadisi Sera Zinazozungushwa Na Wanasiasa. Hafla Hiyo Ilihudhuriwa Na Baadhi Ya Magavana Maseneta Na Wabunge.