Katibu Francis Atwoli Ataka Kuimarishwa Kwa Sheria Za Leba

2021-07-27 0

Serikali Imemulikwa Kwa Kufeli Kuangazia Kesi Za Dhuluma Kwa Wakenya Wanaofanya Kazi Ughaibuni. Akishurutisha Kuimarishwa Kwa Sheria Za Leba, Katibu Wa Muungano Wa Vyama Vya Wafanyakazi Francis Atwoli Amedai Kuwa Vifo Vingi Na Kesi Za Dhuluma Zimechangiwa Na Ukosefu Wa Ajira Nchini Kama Anavyoeleza Mwanahabari Milliah Kisienya………

Free Traffic Exchange