TSC Imeweka Mikakati Ya Kuajiri Walimu Zaidi Ya 90,000

2021-07-26 0

Afisa Mkuu Mtendaji Wa Tume Ya Walimu Tsc, Nancy Macharia Amesema Kuwa Kufikia Sasa Wametoa Mafunzo Kwa Walimu Zaidi Ya 90,000 Kwa Utayari Wa Mtaala Wa Mpya Wa Cbc. Kuhusiana Na Janga La Corona, Walimu 73 Wameaga Dunia Na Wengine 454 Kupona Kufikia Sasa Kutokana Na Maradhi Ya Covid 19. Mwanahabari Yusuf Abdirahman Na Taarifa Zaidi.