Wakaazi Wa Kaunti Ya Lamu Walalamikia Kuwekwa Vizuizi Barabarani

2021-07-26 1

Wakazi Wa Kaunti Ya Lamu Wanataka Serikali Kuu Kuondoa Vizuizi Vingi Kwenye Barabara Ya Lamu-Witu-Garsen. Kulingana Na Wakazi Hao, Vizuizi Vilivyowekwa Vinahitilafiana Na Shughli Za Usafiri Na Kusababisha Barabara Hiyo Kuonekana Si Salama Na Kuwatisha Watalii.