Wanafunzi 200 Wasiojiweza Wa Shule Za Msingi Vihiga Wapigwa Jeki

2021-07-25 2

Huku Wanafunzi Kote Nchini Wakitarajiwa Kufungua Shule Kwa Muhula Wa Kwanza Hapo Kesho Zaidi Ya Wanafunzi 200 Wa Msingi Kutoka Kaunti Ya Vihiga Wamepigwa Jeki Baada Ya Wakfu Wa Gavana Wilber Ottichilo Kuwanunulia Bidhaa Zakutumia Hasa Kwa Wanafunzi Wasionauwezo. Shule Za Msingi Na Zile Za Upili Zitafunguliwa Kuanzia Hapo Kesho Kwa Muhula Wa Kwanza Wa Kalenda Ya Mwaka Wa 2021 Ambayo Utadumu Kwa Wiki 30 Kinyume Na Awali Ambapo Kalenda Hiyo Ilidumu Kwa Wiki 39.