Kinara Wa ODM Ataka Vizuizi Vya Corona Kuondolewa Nchini

2021-07-21 0

Licha Ya Jitihada Za Wizara Ya Afya Kuzuia Kuenea Kwa Virusi Vya Corona Nchini, Kinara Wa Chama Cha ODM Raila Odinga Anataka Vizuizi Hivi Kutolewa Ili Uchumi Uimarike.Kulingana Na Raila Serikali Inapaswa Kuongeza Fedha Za Kunua Chanjo Zaidi Na Kuwachanja Wakenya Zaidi Nchini. Haya Yanajiri Huku Idadi Ya Maambukizi Nchini Ikifikia Asilimia 12.4 Baada Ya Watu Wengine Kuambukizwa Virusi Vya Corona Na Kufikisha Idadi Ya Maambukizi Kuwa Laki 1 Elfu 94 Mia 310.Winnie Lubembe Na Taarifa Zaidi.