Dawa Za Kulevya Zachangia Matokeo Duni Shuleni Embu

2021-07-21 5

Ajira Kwa Watoto Wa Shule Na Utumizi Wa Dawa Za Kulevya Ni Miongoni Mwa Maswala Ambayo Yanachangia Matokeo Duni Ya Masomo Katika Sehemu Kadhaa Za Kaunti Ya Embu. Hali Ya Umaskini Miongoni Mwa Familia Nyingi Zimewafanya Wanafunzi Kujitosa Katika Ajira Ya Watoto Hasa Katika Sekta Ya Mchanga, Muguka Na Majani Chai Ili Kujipatia Kipato Na Kusaidia Familia Zao