Maulamaa Waomba Serikali Kuwahusisha Katika Maamuzi Ya Eid

2021-07-21 14

Baadhi Ya Waumini Wa Dini Ya Kiislamu Katika Mji Wa Eldoret Na Kaunti Ya Mombasa Wamesherehekea Sikukuu Leo Sambamba Na Maelekezo Ya Kadhii Mkuu Sheikh Ahmed Mundhar. Waislamu Duniani Kote Walisherehekea Sherehe Za Ied Ul Adha Jana Kupitia Sala Za Jamii Na Uchinjaji Wa Mifugo Ili Kuashiria Utoaji Wa Mwana-Kondoo Mahali Pa Nabii Ismail. Maulamaa Katika Mji Wa Eldoret Wameiomba Wizara Ya Mambo Ya Ndani Kuwahusisha Viongozi Wa Kiislamu Na Wasomi Wakifanya Maamuzi Kuhusu Sherehe Za Eid.