Idadi Ya Waliofariki Katika Mkasa Wa Moto Siaya Wafikia 15

2021-07-19 13

Idadi Ya Waliofariki Kutokana Na Mkasa Wa Moto Walipokua Wakifyonza Mafuta Eneo La Malanga Imepanda Hadi 15 Baada Ya Watu Wawili Zaidi Kufariki. Msimamizi Wa Hopsitali Ya Rufaa Ya Siaya Aliech Odoyo, Wawili Hao Ni Baadhi Ya 26 Waliofikishwa Katika Hospitali Hiyo Baada Ya Mkasa Huo