Naibu Rais William Ruto Asema Siasa Za Uhasimu Zimepitwa Na Wakati

2021-07-16 6

Naibu Wa Rais William Ruto Amezungumza Kwa Mara Ya Kwanza Baada Ya Chama Chake Uda Kuibuka Mshindi Wa Kiti Chao Cha Kwanza Cha Ubunge Eneo Bunge La Kiambaa Kaunti Ya Kiambu. Ushindi Huo Umeipa Uda Haki Za Kujipigia Debe La Madaha Dhidi Ya Wapinzani Wao Na Chama Chao Asilia Cha Jubilee, Hata Hivyo Naibu Mkuu Wa Nchi Amefutilia Mbali Uhasimu Kati Yake Na Rais Uhuru Kenyataa Akisema Uchaguzi Huo Ulikuwa Ni Mechi Ya Kirafiki Tu....