Mchunguzi Abaini Kuwa Obado Ni Baba Ya Mtoto Wa Sharon

2021-07-14 0

Chembechembe Za Dna Zimefichua Kuwa Gavana Wa Kaunti Ya Migori Okoth Obado Ndiye Babake Mwanawe Mwanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Rongo Mwendazake Sharon Otieno. Kupitia Ukaguzi Uliotolewa Na Mtaalam Wa Maswala Ya Chembechembe Kimani Mungai Ameambia Mahakama Kuwa Asilimia Tisini Na Tisa Zinaonyesha Obado Alimtia Mimba Kabla Ya Kuuawa Kwake Katika Mazingira Ya Kutatanisha. Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Na Taarifa Kamili