Mali Ya Thamani Isiyojulikana Imeharibiwa Baada Ya Moto Kuteketeza Duka Moja La Vifaa Eneo La Kawangware Eneo Bunge La Dagoretti North. Haya Yanajiri Huku Wakazi Wakilalamikia Ongezeko La Visa Vya Moto Na Hulka Ya Wazimamoto Kuchelewa Kufika Panapotokea Kisa. Na Mwanahabari Wetu Lucy Riley Anavyotuarifu, Wakazi Wanaitaka Serikali Ya Kaunti Iwajibike Na Kuweka Huduma Bora Katika Eneo Hilo.