Serikali Yavumbua Sera Na Kamati Ya Kuangazia Huduma Za Dharura

2021-07-07 6

Serikali Ipo Mbioni Kukidhi Hitaji La Huduma Za Dharura Kufuatia Ongezeko La Kesi Za Wanaosumbuka Wanapohitaji Huduma Za Afya. Hitaji Hilo Limeiona Serikali Ikivumbua Sera Na Hata Kamati Ya Kwanza Nchini Itakayoangazia Maslahi Ya Huduma Za Dharura Nchini..Mwanahabari Milliah Kisienya Na Zaidi……


Free Traffic Exchange