Wizara Ya Afya Yapania Kupunguza Kuomba Usaidizi Kutoka Nje

2021-07-06 6

Serikali imemulikwa kwa utata unaozunguka bodi ya kitaifa ya kusambaza dawa nchini. Kumulikwa huku kukijiiri huku serikali za kaunti zikipokea shilingi bilioni 48 kutoka nje kusaidia katika vita dhidi ya malaria ,TB na janga la virusi vya corona.