Kaunti Ya Lamu Yarekodi Ongezeko La Visa Vya Ajali Za Bodaboda

2021-06-29 1

Kaunti Ya Lamu Imerekodi Ongezeko La Visa Vya Ajali Vinavyosababishwa Na Bodaboda. Sheba Hero Kutoka Eneo La Mtangawanda Mashariki Ya Lamu Ni Mwathirika Aliyepata Majeraha Kwenye Mkono Miaka Tatu Iliyopita Na Alishindwa Kupata Fedha Za Kugharimia Matibabu. Amepata Mfadhili Aliyefidia Gharama Ya Matibabu Na Sasa Anaitaka Serikali Itekeleze Mujibu Wake Wa Kuhakikisha Sheria Inafuatwa Na Waendeshaji Wa Bodaboda. Lucy Riley Anatuarifu Zaidi.