Huku Makali Ya Janga La Virusi Vya Corona Yakizidi Kurindima Kaunti Za Ukanda Wa Nyanza, Kaunti Ya Migori Imeweka Mbinu Za Kuimarisha Upimaji Wa Virusi Hivyo. Mmoja Wapo Ni Kujipatia Mashine Ya Kupima Sampuli Kwa Wingi Ili Kupunguza Mrundiko Wa Sampuli Na Kutoa Matokeo Mara Moja.