Siasa Zinazidi Kukumba Mipango Ya Kubinafsisha Mumias Sugar

2021-06-15 6

Siasa Zinazidi Kukumba Mipango Ya Kufufua Na Kubinafsisha Kiwanda Cha Sukari Cha Mumias Na Trans Nzoia Katika Mkoa Wa Magharibi Mwa Kenya. Haya Yanajiri Huku Wakulima Wakijitokeza Na Kuwataka Wanasiasa Kutoingiza Siasa Katika Mipango Hiyo Wanayoshikilia Inalenga Kuimarisha Maisha Ya Wakulima Na Wakaazi Kwa Ujumla.