Askofu Ole Sapit Amrai Rais Na Wandani Wake Kuheshimu Sheria

2021-05-31 3

Mswada Wa Bbi Ukisalia Ukining'inia Na Kuzidi Kuzua Tumbo Joto , Uongozi Wa Kanisa La Kianglicana Kupitia Askofu Ole Sapit Nao Kwa Upande Mwingine Umeachwa Ukigaagaa Kuhusiana Na Msimamo Wake . Sapit Amemrai Rais Kenyatta Kuheshimu Uamuzi Wowote Utakaofanywa Na Mahakama Huku Akilitaka Bunge La Kitaifa Kupitisha Baadhi Ya Vipengee Hasa Vinavyoathiri Uchaguzi Wa Mwaka Ujao Katika Mswada Huo .Kama Anavyoeleza Mwanahabari Milliah Kisienya.