Na Huku Taifa Likijiandaa Kuadhimisha Sikukuu Ya Madaraka Hapo Kesho, Baadhi Ya Wananchi Kutoka Maeneo Mbali Mbali Kama Vile Kaunti Ya Kisumu Wana Maoni Mseto Kuhusu Matarajio Yao Kuhusu Sherehe Za Hapo Kesho Huku Wengine Wakihoji Kuwa Matatizo Yaliyokumba Taifa Miaka Ya Sitini Kama Vile Umaskini, Elimu Na Magonjwa Yangali Yamekithiri Katika Jamii.