Rais Wa Burundi Evariste Ndayishimiye Awasili Nchini

2021-05-31 2

Rais Wa Burundi Evariste Ndayishimiye Na Mkewe Angeline Ndayubaha Wamewasili Nchini. Kinara Wa Odm, Raila Odinga Pamoja Na Waziri Wa Masuala Ya Kigeni Raychelle Omamo Walimpokea Evariste Na Mkewe Kabla Ya Kuelekea Ikulu Ndogo Ya Kisumu.