Kaunti Ya Bungoma Yamulikwa Kuhusu Jinsi Ilivyotumia 370m

2021-05-31 3

Gavana Wa Bungoma Wycliffe Wangamati Amekuwa Na Wakati Mgumu Kueleza Jinsi Kaunti Hiyo Ilivyotumia Millioni 370 Kukabiliana Na Janga La Virusi Vya Corona.